Pakua Brave Beta
Toleo la kuangalia mapema la Brave likionyesha vipengele vipya bora.
Beta ni toleo imara la awali la Brave linalojumuisha vipengele vitakavyozinduliwa hivi karibuni. Build hii inaonyesha teknolojia mpya zaidi na iko tayari kwa matumizi ya kila siku.
Brave Beta hututumia kiotomatiki ripoti za kuacha kufanya kazi wakati kuna kasoro. Tunathamini maoni yako na kusaidia kujaribu toleo hili la awali la Brave.
Vipakuliwa vya Brave Beta for desktop vinapatikana kwa Linux, macOS, na Windows.
Brave ni programu huria siku zote. Kagua kwenye GitHub au tembelea community.brave.app kwa usaidizi.
Brave Beta ya kifaa cha mkononi
Brave Beta pia inapatikana kwenye Android na iOS. Pata onyesho fupi la vipengele vipya vya kifaa cha mkononi na utusaide kuvijaribu kwa ajili ya utoaji kamili.
Ungependa kujaribu matoleo mengine ya Brave?
Vipengele vipya kwa kawaida vinaletwa katika Nightly kwanza. Baada ya kushughulikia kasoro hatua inayfuata ni kusogeza vipengele kwenye Beta build kwa kaguzi za mwisho, kisha kuunganisha ndani ya toleo la Release.

