Upakuaji wa Brave Nightly

Toleo lisilojaribiwa lakini thabiti la Brave kwa watumiaji na wasanidi programu wa juu.

Nightly ni toleo la Brave la mapema ambalo halijajaribiwa. Vipengele vyake wakati mwingine havijakamilika au vinaendelea kushughulikiwa na huenda vikawezeshwa kwa chaguomsingi au “gated” nyuma ya bendera ya kipengele. Huenda vipengele hivi visipatikane wakati wote au vikawezeshwa kwa chaguomsingi kwenye vituo vingine.

Nightly ina uthabiti bora na watumiaji na wasanidi programu wengi mahiri huchukulia Nightly kuwa toleo lao kuu la Brave. Tunathamini maoni yako na usaidizi wa kujaribu toleo hili la mapema la Brave.

Vipakuliwa vya Brave Nightly for desktop vinapatikana kwa Linux, macOS, na Windows.

Brave ni programu huria siku zote. Kagua kwenye GitHub au tembelea community.brave.app kwa usaidizi.

info image info image

Brave Nightly for Android

Nightly pia inapatikana kwenye vifaa vya Android. Tusaidie kujaribu mapema au vipengele vya maendeleo kwa kifaa cha mkononi.

leo mobile screenshot

Ungependa kujaribu matoleo mengine ya Brave?

Vipengele vipya kwa kawaida vinaletwa katika Nightly kwanza. Baada ya kushughulikia kasoro hatua inayfuata ni kusogeza vipengele kwenye Beta build kwa kaguzi za mwisho, kisha kuunganisha ndani ya toleo la Release.

Brave logo

Ukakaribia…

Tafadhali endelea na usakinishaji wa Brave katika .

Tafadhali endelea na usakinishaji wa Brave katika .

Umesalia na sekunde 60 tu kuwa na faragha bora mtandaoni

  1. Pakua Brave
  2. Tumia kisakinishaji
  3. Leta Mipangilio
  1. hatua 1
    Pakua Brave

    Fungua kisakinishaji kutoka kwenye vipakuliwa vya Chrome (kinapaswa kuwa kona ya kulia juu ya dirisha hili).

  2. hatua 2
    Tumia kisakinishaji

    Ukipata kidokezo, bofya “Ndiyo” katika kidirisha cha Udhibiti wa Ufikiaji wa Mtumiaji.

  3. hatua 3
    Leta Mipangilio

    Subiri usakinishaji ukamilike, kisha ulete mipangilio ya kivinjari chako kutoka Chrome.

Ikiwa upakuaji wako haujaanza kiotomatiki, bofya .

Unahitaji usaidizi?