Kategoria
Kivinjari cha Brave ambacho ni rahisi kutumia kinazuia matangazo kwa chaguomsingi, hali inayofanya Wavuti kuwa wa kasi, salama zaidi na kuondoa msongamano kwatu wote duniani kote.
Fungua kisakinishaji kutoka kwenye vipakuliwa vya Chrome (kinapaswa kuwa kona ya kulia juu ya dirisha hili).
Ukipata kidokezo, bofya “Ndiyo” katika kidirisha cha Udhibiti wa Ufikiaji wa Mtumiaji.
Subiri usakinishaji ukamilike, kisha ulete mipangilio ya kivinjari chako kutoka Chrome.
Ikiwa upakuaji wako haujaanza kiotomatiki, bofya hapa.
Unahitaji usaidizi?