Upakuaji wa Kivinjari cha Brave
Kivinjari cha Brave huzuia matangazo na vifuatiliaji vinavyokupunguzia kasi na kuingia faragha yako. Gundua njia mpya ya kufikiria kuhusu jinsi wavuti unavyoweza kufanya kazi.
Brave kivinjari cha simu
Brave inapatikana kama kivinjari cha wavuti chenye kasi, bila malipo na salama kwa vifaa vyako vya rununu. Kamilisha kwa kizuia tangazo kilichojengewa ndani ambacho kinazuia ufuatiliaji, na kuboreshwa kwa data ya simu ya mkononi na kuokoa maisha ya betri.
Ungependa kujaribu matoleo mengine ya Brave?
Vipengele vipya kwa kawaida vinaletwa katika Nightly kwanza. Baada ya kushughulikia kasoro hatua inayfuata ni kusogeza vipengele kwenye Beta build kwa kaguzi za mwisho, kisha kuunganisha ndani ya toleo la Release.

