Fungua kisakinishaji kutoka kwenye vipakuliwa vya Chrome (kinapaswa kuwa kona ya kulia juu ya dirisha hili).
Ukipata kidokezo, bofya “Ndiyo” katika kidirisha cha Udhibiti wa Ufikiaji wa Mtumiaji.
Subiri usakinishaji ukamilike, kisha ulete mipangilio ya kivinjari chako kutoka Chrome.
Ikiwa upakuaji wako haujaanza kiotomatiki, bofya hapa.
Unahitaji usaidizi?